Subject: lugha ya kiswahili mashuleni Sun Oct 11, 2009 2:21 pm
je lugha ya kiswahili ikifundishwa mashuleni kwanzia ngazi ya msingi hadi sekondari katika masomo yote itasaidia wanafunzi kufaulu na kwanini wanafunzi washindwe kufaulu kwa sababu tu wanatumia lugha ya kigeni katika kujibu mitihani? Jadili